Hit Maker wa nyimbo ya "MAJANGA" Snura Mushi ivi karibuni alianguka Jukwaaan wakati akiwa anafanya shoo. Hali hii ilitokea wakati alipokuwa akiwarusha mashabiki wake jukwaani wakati akiendela na kutoa burudani gafla akikatika viuno alianguka kinumenyume na Mabaunsa wa Club hii walijaribu kumdaka bila mafanikio.
Akuumia sana yuko mzima na aliendelea na shoo yake kama kawaida
Akuumia sana yuko mzima na aliendelea na shoo yake kama kawaida
Tazama Video hii hapa chini ujue ni jinsi gani alivyoanguka
No comments: