Habari kwa Ufupi :

» » » JACKLINE WOLPER HOI HOSPITALINI









Msanii wa Filam Tanzania ajulikanae kwa jina la Wolper yuko hoi Hospitalini huku akiomba Dua kwa wapenzi wake wamuombee ili apone haraka. Wolper ameripot taarifa za kuumwa kwake katika akaunti yake ya facebook na kuainisha ugonjwa unaomsumbua ni Maralia na ujumbe huo umesomeka hivi:

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
VIDEO: SNURA ALIPODONDOKA KUTOKA JUKWAANI NEW MAISHA CLUB NI BAADA YA KUKATA SANA VIUNO
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply