Habari kwa Ufupi :

    3:00 P
» » » WEMA SEPETU: NAVUTAGA KUTOA MAWAZO



STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amekiri kuwa huwa anatumia sigara ‘fegi’ ili kuondoa mawazo.
Wema alifunguka hayo Hivi Karibuni kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na Runinga ya East Africa ambapo alikuwa akifungukia maisha yake likiwemo suala hilo la kuvuta sigara.

“Huwa navuta sigara pindi ninapokuwa na mawazo, nikivuta huwa inanisaidia kupunguza na kunifanya niwe vizuri,” alisema Wema.


Source:GPL

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
New Video: Hemedy PHD ft Mr BLUE - Rest Of My Life
»
Previous
HEMEDY PHD NDANI YA PENZI ZITO NA MREMBO MCHEZA VIDEO

No comments:

Leave a Reply