Habari kwa Ufupi :

» » » EMINEM APATA ZIARA YA KWENDA AFRICA KUSIN MWAKANI - HII ITAKUWA NI MARA YAKE YA KWANZA KUKANYAGA BARA LA AFRIKA

Rapper Marshall Mathers aka Eminem anatarajiwa kutumbuiza nchini Afrika Kusini mwakan

Eminem atakuwa na show mbili nchini humo akianzia Cape Town February 26 na March 1, 2014. Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa Eminem kwenda Afrika Kusini na barani Afrika kwa ujumla.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
SAMSUNG YAZIDI KUJIPANUA KATIKA TECHNOLOGY: YATENGENEZA TV YENYE UWEZO WA KUONYESHA CHANNELI MBILI KWA MPIGO ... BEI NI ZAIDI YA MILL 17
»
Previous
VIDEO: MKASI - SOE7EO7 WITH SHERIA NGOWI

No comments:

Leave a Reply