Habari kwa Ufupi :

» » » Baby Madaha Kuzindua Filamu Yake ya Gal Bladder Hivi Karibuni- Tazam Trailer Yake Hapa

Mwanadada anayefanya mambo mengi sana kwenye muziki na filamu Baby Joseph Madaha anatarajiwa kufanya uzinduzi wa filamu yake mpya ya The Gal Bladder hapo kesho kwenye ukumbi wa mgahawa wa Akemi jijini Dar es Salaam.




Baby Madaha amesema kuwa uzinduzi huu utahusisha waalikwa tu na sio wa viingilio kama ilivyozoeleka kwenye uzinduzi wa vitu mbalimbali hapa nchini.


Tazama Trailer yake Hapa Chini




Katika uzinduzi huu baby Madaha pia anatarajiwa kuzindua nyimbo zake nyingine mbili mpya alizozifanya chini ya label ya Cand and Candy ya jijini Nairobi Kenya ambazo zitajumlisha orodha ya nyimbo nne alizoziachia katika kipindi cha miezi mitatu.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video: Tazama Kipande Cha Filamu Aliyofanya Hemedy Phd Akiwa na Mastaa wa Zambia
»
Previous
USA: Eminem aomba alipwe shilingi ‘bilioni 3.2’ kwenye show ya Super Bowl

No comments:

Leave a Reply