Music: Baby Madaha - Nawaponda

Unknown Thursday, May 15, 2014 0

Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Baby Madah wimbo unaitwa Nawapenda usikilize na kuudownload hapa

Video: Baby Madaha - Mr Dj

Unknown Wednesday, March 5, 2014 0

Tazama video mpya kutoka kwa Baby Madah chini ya kapuni ya Candy Itazame video hii hapa chini...!

Hata waniroge, wanichafue, i'm a bad gal, 'Baby Madaha Afunguka '

Unknown Sunday, February 9, 2014 0

Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo ya...

Picha: Sexy and Lovely Photos za Baby Madaha alipokuwa Nchini Kenya

Unknown 0

Katika swala zima la upigaji picha sasa limechukua nafasiyake kutokana na technology kuongezeka na kila mtu kuwa a uwezo ata wa kujipiga sel...

Baby Madaha akiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na bosi wa Candy n Candy

Unknown Sunday, January 26, 2014 0

Utakubaliana nasi kuwa huduma na mashavu anayoyapata Baby Madaha kutoka kwa bosi wa Candy n Candy Records, Joe Kariuki ni zaidi ya msanii al...

Baby Madaha na Kampuni yake walamba dili ya hela nyingi sana na kubwa zaidi

Unknown Monday, January 6, 2014 0

Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki - candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo mrefuu na kampun...

Picha: Uzinduzi wa filamu The Gal bladder ya Baby Madaha ndani ya Akemi jijini Dar.

Unknown Tuesday, December 24, 2013 0

Image Credit : BongoMovies 

Baby Madaha Kuzindua Filamu Yake ya Gal Bladder Hivi Karibuni- Tazam Trailer Yake Hapa

Unknown Sunday, December 22, 2013 0

Mwanadada anayefanya mambo mengi sana kwenye muziki na filamu Baby Joseph Madaha anatarajiwa kufanya uzinduzi wa filamu yake mpya ya The Gal...

Penzi la meneja wake lampagawisha baby Madaha, aamua kufunguka haya

Unknown Thursday, December 19, 2013 0

Baby Madaha ambaye star wa bongo movies na pimwanamuziki wa Bongofleva amesema kuwa mpenzi wake wa sasa Joe Kariuki kutoka nchini Kenya amb...

Baby Madaha afunguka maneno ya watu ndiyo yalisababisha aamue kuingia kwenye mapenzi na meneja wake wa Kenya

Unknown Tuesday, December 17, 2013 0

Hivi sasa sio siri tena wala Baby Madaha hataki tena kupindisha pindisha maneno kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na meneja wake wa Kenya CEO w...

BIFU LAZIDI KUPAMBA MOTO: BABY MADAHA AMCHANA TENA DIAMOND BAADA YA DIAMOND KUMDISS

Unknown Friday, December 6, 2013 0

Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya kufunguka na kuamua kumdiss mwanadada baby Madaha a.k.a The Bad Gul kuwa hawalingani hivyo hana muda m...

VIDEO: BABAY MADAHA - GAL BLADDER

Unknown Wednesday, December 4, 2013 0

Tazama hapa Brand new music video ya mwana dada Baby Madaha iitwayo Gal Bladder, ikiwa ni soundtrack ya upcoming movie iitwayo Gal Bladder p...

BABY MADAHA: DIAMOND SI MWANAMUZIKI BALI NI MZINZI FLANI TUU

Unknown Sunday, December 1, 2013 0

MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la Baby Madaha amesema kwamba msanii mwenzake wa muz...

BABY MADAHA"UTUNDU KITANDANI NDIO SILAHA YANGU KUWAPAGAWISHA WANAUME NAYAJUA MAPISHI"

Unknown Sunday, November 24, 2013 0

Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa sir...

BABY MADAHA APATA DILI, KUFANYA SHOO LONDON MWISHO WA MWEZI HUU

Unknown Saturday, November 9, 2013 0

Mwigizaji na Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, baby Madaha amekula dili ya kwenda kupiga shoW ya mziki huko UK tar 30 ya mwezi huu wa k...

BABAY MADAHA ANAKUJA NA FILAMU YAKE INAYOITWA "THE GAL BLADDER" CHINI YA KAMPUNI ILIYOMPA GARI YA CANDY N CANDY

Unknown Friday, November 1, 2013 0

Mwanamuziki na Actor wa Filamu Bongo Baby Madaha kutoka Tanzania ambaye kwasasa yuko chini ya label ya Candy n Candy ya Kenya, baada ya kuto...

Picha: Baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…!

Unknown Friday, October 4, 2013 0

Zicheki Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa nchini Kenya na gari yake aina ya audi aliyopewa na Record Labe...

HIVI UNAFAHAMU KUWA BABAY MADAHA MBALI NA MUZIKI ANASOMEA DEGEREE YA SIASA NA HISTORIA, NI KATIKA CHUO GANI ?..NINI ANAPENDA? FAHAMU MAMBO MENGINE ZAIDI HAPA

Unknown Friday, September 13, 2013 0

Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records Label ya jijini Nairobi...