Hivi karibuni Baby madaha lipiga picha hizi alipokuwa nchini kenya chini ya kampuni ya Candy amabayo ndiyo hasa inayosimamia kazi za mwanamuziki huyu 'Baby Madaha' akiwa nchini Baby Madaha alipiga picha hizi chini ya kampuni ya Candy, Kikubwa hasa kilichonivutia ni Jinsi upigaji wa picha hizi na yule photographer aliyepiga picha hizi, amepiga picha katika ustadi wa khali ya juu na kumfanya Baby Madah atoke kama alivyotoka haa chini katika picha hizi..
Tazama Picha hapa chini.....
No comments: