Baby Madaha na Joe Kairuki
Uhusiano wa Baby na Joe ni unaenda zaidi ya msanii na meneja wake. Wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi.
“Uhusiano wangu na Joe mmmh…Joe amekua zaidi ya meneja wangu,” Baby aliliambia jarida la Spice la nchini Kenya.
“Natumia muda mwingi nikiwa naye. Kwanza kabisa, sijali kile watu wanasema. Mi namuona anavutia na mchangamfu. Pili nina furaha. Na kama uhusiano wangu na Joe hauniathiri kwanini nimsumbue mwingine? Mwisho, kama yupo single, kipi kibaya sisi kuwa na uhusiano?”
Credits: Ghafla Kenya
No comments: