Kwa kutazama picha hizi hapa chini utaelewa Diamond Plutnumz amefanya nini Nchini kenya katika jiji la "Nairobi"
Diamond alialikwa na kampuni ya safaricom ya mjini nairobi kwenda kutoa burudani katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya safaricom ya kenya
Diamond na crew yake walitoa burudani kali kwa wale waliobaatika kufika bila shaka hawataweza kupingana na mimi kwa hili kani shoo hiyo ilifanyika katika ukumbi wa 'Safari calnivore,Nairobi.'
N a hizi ndizo picha za wasafi Crew wakiongozwa na President wao Diamond Plutnumz wakitoa performance ndani ya ukumbi wa Safari calnivore,Nairobi ..
No comments: