» » WAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA MH WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA


Habari zilizo tufikia hivi punde nikwamba waziri wa fedha mh William Mgimwa amefariki mchana wa leo nchini Afrika kusini alikokuwa amekwenda kwa matibabu ya ugonjwa wa "Presha" uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.Habari zaidi tutakuleteeni baadae.

Endelea kuwa na sisi

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply