Manchester City ilikuwa imeshinda mechi zote 11 ilizokuwa imecheza nyumbani kabla ya kukutana na Chelsea.
Kadhalika hii ndiyo imekuwa mara ya kwanza Manchester City kushindwa kufunga bao katika mechi za nyumbani tangu mwaka 2010.
Bao la Chelsea lilifungwa na Branislav Ivanovic katika kipindi cha kwanza

No comments: