Habari kwa Ufupi :

» » Music: Kalakana, P The Mc, Shashow ft Jackson - Wazo Jipya

Sikiliza  hapa ngoma mpya kutoka kwa Vijana wa Lundno Inc, Ngoma inaitwa 'Wazo Jipya' as you know kila mttu, kila siku watu wanakuwa na mawazo mapya, wazo lako jipya ni lipi..!

Chukua uda wako wa dakika kadhaa kuweza kuwasikiliza vijana hawa waliofanya ngoma hii ndani utamkuta shashow wa lunduno, P The Mc, Rapper Kalakana na Jackson Ngoma imefanyika katika studio za Home Town Records chini ya Producer Ell Da Bway.



Sikiliza na Kuidonload hapa chini kwa wana Hip Hop wote na wapenzi wa muziki kwa ujumla  hii kitu inawahusu....





Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video: Nick Minaj - Lookin Ass Nigga
»
Previous
Klabu Ya Soka Azam Yaelekea Msumbiji Jana Kuikabili Ferroviario de Beira

No comments:

Leave a Reply