Habari kwa Ufupi :

» » Shooting ya filamu ya The Avengers Kufanyika South Africa,Barabara za Johannesburg kufungwa

Barabara kadhaa za katikati ya jiji la Johannesburg kuanzia leo Jumanne zitafungwa kupisha shooting ya filamu ya The Avengers.




Uchukuaji wa filamu hiyo utaanza saa 12 jioni hadi Jumatano asubuhi.

Mitaa mingine itafungwa kuanzia February 14 hadi 23. Mitaa itakayoathirika ni President Street kwenda Rissik na Eloff streets na Joubert Street kwenda Harrison na Rissik streets. Polisi wamesema sehemu za mitaa ya Commissioner, Sauer na Albetina Sisulu nayo itafungwa.



Muendelezo wa filamu hiyo ya Hollywood, iliyopewa jina ‘Avengers: Age of Ultron’ utahusisha waigizaji maarufu wakiwemo Robert Downey Jr, Scarlett Johansson, Chris Evans na Chris Hemsworth.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Magazetini leo Jumatano ya Tarehe 12/2/2014
»
Previous
Audio: Wyclef Jean aomba kushirikiana na Clouds Media ' Joseph Kusaga'

No comments:

Leave a Reply