» » Video: ITV News (Uingereza) yawarekodi wafanyabiashara wa pembe za ndovu bila wao kujua nchini Tanzania

Timu ya kituo cha runinga cha Uingereza cha ITV News imefanya upepelezi katika soko la uuzaji wa pembe za ndovu nchini Tanzania kuonesha jinsi ilivyo rahisi kunununua bidhaa hiyo haramu.


Ile Timu ya ITV News ikiwa kwenye kibanda chenye wafanyabiashara wa pembe za ndovu ambao kwa nje wanaonekana wakifanya biashara ya vinyago na bidhaa zingine za mikono
Kamera zilizokuwa zimefichwa ziliwarekodi wauzaji hao wakiahidi kuisaidia timu hiyo kusafirisha pembe hizo kwenda nchini China.


Aliyevaa t-shirt ya cream yenye Mistari ya rangi nyeusi ni Muuzaji wa pembe za ndovu akimwambia mwandishi huyo kuwa anaweza kwenda kuongeza pembe za ndovu sita ndani ya wiki mbili kutegemea na uwepo wa fedha
Katika video hiyo, mfanyabiashara anasema kila kilo moja ya pembe ya ndovu inauzwa $700 ambazo ni takriban shilingi 112,700 za Tanzania.

.
Tazama Full Video hapa chini....

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply