Habari kwa Ufupi :

» » Mafikizolo washinda tuzo nane za ‘South African Music Awards’

Usiku wa tarehe 28/4/2014 South African Music Awards, ulitawaliwa na hitmakers wa ‘Khona’ na ‘Happiness’ Mafikizolo walionyakua tuzo tuzo nane.


Miongoni mwa vipengele walivyoshinda ni pamoja album of the year na best duo/ group. Wasanii wengine waliopata tuzo ni Zahara, Kabomo Nakhane Toure, iFani Big Nuz, Mi Casa Music na wengine.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Huyu ndiye mtanzania Pekeee aliyeshiriki Arusi ya Tiwa Savage Iliyofanyika Dubai
»
Previous
Utajiri wa Irene Uwoya waanza kuwa gumzo, watu wahoji amepata wapi mali zote hizo. Mwenyewe afunguka na haya

No comments:

Leave a Reply