Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Hii ndio gari expensive zaidi China, inauzwa sh bilioni 1 na milioni 600 ($800,000)

Hongqi L5 limousine ndio inasemekana kuwa ‘China’s most expensive car’, ambayo gari ya kwanza ya toleo hilo imeuzwa kwa Yuan milioni 5 ambayo ni sawa na dola laki nane za Marekani sawa na shilingi bilioni moja na milioni mia tatu+ (1,300,600,000).















Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video: Nash Mc - Naandika
»
Previous
Paul Okoye azilaumu media za Naija kwa kuukuza ugomvi wao, ‘never underestimate the power of blood’

No comments:

Leave a Reply