Producer P -Funk a.k.a Majani aoa Arusha
Yule producer mkongwe wa wa Muziki wa Bongo na aliyesaidia kwa kiasi kikubwa kuufikisha muziki huu wa Bongo mahala ulipo P-Funk a.k.a Majani amefunga pingu za maisha na mrembo aitwaye Hidaya katika harusi iliyofanyika jijini Arusha.
No comments: