» » » » » Haya ndio Matangazo waliyofanya Nay wa Mitego Vanessa Mdee, Barnaba nchini Bangkok, Thailand

Vanessa Mdee, Barnaba na Nay wa Mitego Mwishoni mwa mwezi uliopita, walienda jijini Bangkok, Thailand ambako imebainika walienda kushoot matangazo ya biashara ya mtandao wa simu ambao bado haujulikani ni upi. Tayari picha zao za billboard zimesambazwa kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.






Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply