Bila shaka mashabiki wa Diamond Platnumz watakuwa na shauku kubwa ya kufahamu codes za kumpigia kura staa huyo aliyetajwa kuwania tuzo za BET mwaka huu kwenye kipengele cha Best International Act: Africa, kama ilivyo katika tuzo zingine.
Habari mbaya ni kuwa hakuna codes zozote zitakazotolewa kwakuwa tuzo hizo zina utaratibu tofauti kabisa na tuzo zingine kama CHOAMVA ama MTV MAMA. Ili kupata washindi, tuzo za BET huwa ina jopo la watu 500 duniani (academy member) ambao huchagua mshinda katika vipengele vyote.
Habari njema ni kuwa, Vanessa Mdee pia ni miongoni mwa member wa academy hiyo ambayo hakuna shaka kuwa atampa Diamond kura moja kama alivyosema: “Y’all already know where my vote went.”

No comments: