Baada ya Diamond Platnumz kupokea tarifa ya kwamba amechaguliwa kwenye tuzo za BET Awards alishare picha kupitia ukurasa wake wa Instafram, Kupitia Twitter Diamond Platnumz alipewa taarifa na Bet awards na kupongezwa.
Je Mastaa kutoka Tanzania na Nchi ya Kenya wanasemaje juu ya Kuchaguliwa Kwa The Bongo Super Star 'Naseeb Abdul' a.k.a Diamond Platnumz
Soma hapa chini mastaa hawa walivyotweet
Je Mastaa kutoka Tanzania na Nchi ya Kenya wanasemaje juu ya Kuchaguliwa Kwa The Bongo Super Star 'Naseeb Abdul' a.k.a Diamond Platnumz
Soma hapa chini mastaa hawa walivyotweet
No comments: