Chege na Temba wameshoot video ya wimbo wao, Wauwe na kuwashirikisha Jokate Mwegelo aka Kidoti na Julio waliogiza kama marubani wa ndege.
Tazama picha za uchukuaji wa video hiyo uliofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Muongozaji wa video ni Adam Juma.
Picha zaidi hapa chini...

No comments: