Wasanii hawa wameweka wazi kuwa, hatua hii imetokana na wao kupiga hatua zaidi katika kazi zao na kuhitaji usimamizi wa karibu zaidi, jambo ambalo chini ya Goodlyf lilikuwa na changamoto kutokana na Jeff kuwa na wasanii wengi wa kuwaangalia.
Hatua hii inakuja muda mchache tu wakati msanii mwingine mkubwa wa nchini Uganda, Jose Chameleone naye kubadilisha msimamizi wa muziki wake wa siku nyingi Sam Mukasa.
No comments: