» » » » Video: Video: Jay Z na Beyonce katika filamu mpya waachia trailer ya hiyo itazame hapa (fake) ya On The Run

Uhalifu, Usaliti, ukatili, mapenzi na mikasi! Beyonce na Jay Z wameachia trailer ya filamu iitwayo ‘RUN’ … japo usitegemee filamu yenyewe kutoka soon.



Mume na mke huyo Jumamosi hii wamefanya surprise ya trailer ya ziara yao ya On The Run Tour, itakayoanza mwezi ujao.
 Trailer hiyo kali yenye dakika tatu inamaliza kwa mkwara ‘coming never,’ ikiwa na maana kuwa hakutakuwa na movie yake japo ukiangalia hakuna shaka kuwa wengi wangependa iwepo.


Itzame trailer hiyo hapa...





Kwa namna ilivyo inaonesha kuwa imegharimu pesa nyingi hasa kwa kushirikisha mastaa kibao kwenye filamu wakiwemo Sean Penn, Don Cheadle, Guillermo Díaz, Emmy Rossum, Jake Gyllenhaal, Blake Lively, Rashida Jones na Kidada Jones.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply