Habari kwa Ufupi :

» » » » » » » Music: BHitz Feat. DJ Choka, Mabeste, Deddy& MRap- Chapa Mitaa

Ile ladha ya timu kali ya B’Hitz ilitajwa na wengi kama timu bora ya wasanii na watayarishaji wa muziki kuwahi kutokea Tanzania imerudishwa tena kwa mashabiki.

BHitz imeachia wimbo mpya uliofanywa na wasanii wa zamani wa label hiyo, unaitwa ‘Chapa Mtaa’ ambao umewashirikisha wakali hao.




MRap Lion, DJ Choka, Gosby, Mabeste na Deddy.

Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Pancho Latino na Hermy B.Sikiliza na kuudwnload hapa

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
H.Baba aumwa ugonjwa wa Dengue, alazwa Muhimbili
»
Previous
Hermy B afunguka kuhusu mtu aliyemkosanisha na wasanii wa B’Hits

No comments:

Leave a Reply