» » Pharrell Williams, Lil Wayne, Drake, Trey Songz na Usher kutuo burudani kwenye Tuzo za BET 2014

BET imetangaza majina ya wasanii nyota wa Marekani watakaotumbuiza katika tuzo za BET ambazo kwa mwaka huu, Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla inawakilishwa na hit maker wa ‘Number One’ Diamond Platnumz anaewania kipengele cha ‘Best International Act’.



Orodha hiyo inajumuisha wasanii kutoka Young Money Lil Wyne na Drake. Mastaa wengine watakaoshambulia jukwaa ni Trey Songz, Usher na hit maker wa ‘Happy’ Pharrell Williams, Jennifer Hudson pamoja na Lionel Richie.

Host wa tuzo za BET atakuwa mchekeshaji/muigizaji Chris Rock.

Tuzo hizo zitaoneshwa live kutokea ‘Nokia Theatre’ huko Los Angeles, Marekani June 29

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply