Masaa machache kabla ya kuachia albam yake mpya ‘Animal Ambition’ 50 Cent ameachia video mpya ya wimbo uliobeba jina la albam hiyo.
50 Cent anawatishia maadui zake kuwa wasijisogeze kwenye pesa zake kwa kuwa yeye ni mkali kama chui.
“Got the eye of the tiger, I’m on that animal sh**.” Anajigamba 50 Cent, kupitia Video hii hapa chini.

No comments: