» » » » » amaa Aliyefanya Zoezi la Kura za Maoni Kwenye Box Kariakoo na Lowassa Kushinda Akamatwa na Polisi

Mtu mmoja huko Kariakoo  jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni,


 sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi .



Noma sana namna hiyoooo...

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply