Sad News: Mzee Gurumo Afariki Dunia

Unknown Sunday, April 13, 2014 0

Mwanamuziki mkongwe na Gwiji la muziki wa dansi Tanzania Maalim Muhidin Gurumo amefariki dunia leo April 13, 2014 katika hospitali ya Taifa ...

WAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA MH WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA

Unknown Wednesday, January 1, 2014 0

Habari zilizo tufikia hivi punde nikwamba waziri wa fedha mh William Mgimwa amefariki mchana wa leo nchini Afrika kusini alikokuwa amekwend...

Hot News: Jackie Cliff Amuachia Maagizo Ya Wosia Martin Kadinda …

Unknown Saturday, December 28, 2013 0

Baada ya kukamatwa na kilo 1.1 za heroin nchini China, mrembo Jackie Cliff kwa sasa anasubiria hatima yake kutokana na kosa hilo la kusafiri...

UPDATE: HALI YA NELSON MANDELA YADAIWA SIO NZURI, SASA AWEZI KUZUNGUMZA

Unknown Monday, November 18, 2013 0

Imeripotiwa kuwa hali ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela bado sio nzuri kwani hivi sasa hawezi kuzungumza. Kwa mujibu wa BBC,...

Poppin Updates: Aliyemuua mama yake Ufoo Saro alipanga kuua familia nzima, mdogo asema haya...

Unknown Monday, October 14, 2013 0

Kwa mujibu na maelezo ya  mdogo wake na mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha ITV, Ufoo Saro aitwaye Goodluck aliyekuwepo wakati wa t...

BREAKING NEWZ AJALI MBAYA MLIMA KITONGA

Unknown Saturday, October 5, 2013 0

Polisi walikuwepo ili kulinda usalama kwenye eneo la tukio Mmoja wa majeruhi akipandishwa kwenye gari  Ajali mbaya nyingine imetokea jana us...

MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA YAFUNGIWA

Unknown Saturday, September 28, 2013 0

GAZETI LA MWANANCHI GAZETI LA MTANZANIA Serikali imeyafungia kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia 27 Septemba, 2013 kuto...