Picha: Pre-wedding dinner ya Kimye iliyofanyika jana Paris, ndoa kufungwa leo (May 24) Italy

Unknown Saturday, May 24, 2014 0

Jana Ijumaa (May 23) Kanye West na Kim Kardashian waliianza ratiba yao kuelekea siku ya harusi ya mwaka inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa kuf...

Picha: Beyonce anahisi Jay Z na mrembo huyu wanaweza ‘kuchepuka’ kwenye harusi ya Kanye na Kim!

Unknown 0

Kanye West ana furaha kubwa kuwa rafiki yake Jay-Z kesho Jumamosi atahudhuria harusi yake na Kim Kardashian. Hata hivyo, bado Beyonce haijul...

Kukataa kwa Jay Z kuwa mpambe wa Kanye West kwenye harusi yake kumetia dosari urafiki wao

Unknown Thursday, April 10, 2014 0

Utajisikiaje pale rafiki yako wa damu anapokataa kuwa mpambe wa harusi yako ama kuhudhuria kwa sababu rahisi kama ya kutopenda kuonekana kwe...

Picha: Kanye West afananishwa na Vampire ni baada ya picha hii kusambaa mtandaoni.

Unknown Thursday, March 27, 2014 0

Wiki iliyopita jarida la Vogue lilitoa picha ya jarada la jarida hilo na kuwaonesha Kanye West na Kim Kardashian wakiwa wamepoz kama watu wa...

Kanye West Kumpatia zawadi hii Kim Kardashian baada ya Kufunga Ndoa

Unknown Monday, March 24, 2014 0

Rapper Kanye West anaendelea kufikiria jinsi ya kuwa mwanaume aliyempa zawadi ya pekee Kim Kardashian baada ya kufunga ndoa. Chanzo kimeliam...

Harusi ya Mastaa Kanye West na Kim Kardashian kurushwa kama kipindi maalum chenye part 1 & 2 kupitia E!

Unknown Wednesday, March 19, 2014 0

Harusi ya rapper Kanye West na Kim Kardashian ndio gumzo kubwa kwa sasa mitandaoni, wakati wengi wakiwa wanaisubiri kwa hamu kituo cha runin...

Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West Kufungwa May 24 Mwaka Huu

Unknown Thursday, March 6, 2014 0

Baba na Mama Northwest Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa jijini Paris, Ufaransa May 24. “Haitakuwa harusi kubwa,” chanzo...

Kanye West aanzisha dini yake Unataka Kuijua ni dini gani, na inahusiana na nini..soma hapa

Unknown Thursday, January 16, 2014 0

Mwanamuziki kutoka marekani Kanye west ameanizsha  Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album yake mpya  i...