» » » Kwa Wanandoa Tu: Ni Halali Kupokea Simu ya Mumeo/Mkeo Akipigiwa?

In case mumeo/mkeo yuko mbali kidogo na simu yake halafu ikatokea akapigiwa simu na mtu ambaye aidha ni namba ngeni au iliyohifadhiwa kwenye simu, na wewe upo karibu na simu yake, 



Je, unaweza kumpokelea!
Nawasilisha!

Jibu kwa kuacha comment yako hapo chini tafashali

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply