» » » » Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…

Wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaowania tuzo za Afrimma wameungana kufanya wimbo rasmi wa tuzo hizo (Afrimma Theme Song).



Walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na mkongwe kutoka Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka, Awilo Logomba (Congo), Diamond Platnumz (Tanzania), Eddy Kenzo (Uganda), Harrysong (Nigeria), Kcee (Nigeria), Stanley Enow (Cameroon), Dynamq (South Sudan) Teddy-A (Nigeria), Vanessa Mdee (Tanzania) na Toofan (Togo).
Tuzo za ‘2015 African Muzik Magazine Awards’ zinatarajiwa kutolewa Octoba 10 huko Dallas, Marekani.


Downbload Download na hapa

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply