Habari kwa Ufupi :

» » » » RAY J AANDIKA MSTARI UNAOMUHUSU KIM KARDAHIAN HUU HAPA!





Ray J anataka Kanye West ajue ......ikifika kwa mtoto Kim, Kanye anachukua makapi, kwasababi yeye ndio alipiga wakwanza. kama unavyojua aliongeza umaarufu na Kim baada ya mkanda wao wa X kusambaa "Kim K Superstar". TMZ imeripoti kuwepo kwa ngoma mpya ya Ray J "I Hit It First" inayotarajiwa kutoka wiki ijayo, yenye mistari inayomdiss Kim K. She might move on to rappers and ballplayers But we all know I hit it first. I had her head going North and her ass going South But now baby chose to go West No matter where she goes or who she knows She still belongs in my bed. na inasemekana kuwa Ray J anatengeneza video ya wimbo huo akiwa na model anaefanana na Kim K kabla ya kuwa na mimba

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MCHUANO WA ‘THE MIC KING’ WAENDELEA DAR LIVE
»
Previous
FAMILIA YA MAREHEMU KANUMBA YAMPA TUZO MILLARD AYO WA AMPLIFAYA YA CLOUDS FM

No comments:

Leave a Reply