» » » » » SHILOLE AKIELEZEA JINSI MAPENZI YALIVYOMFANYA NA JINSI ALIVYOKUWA! NI KWENYE KIPINDI CHA PILLOW TALK [VIDEO]





Pillow Talk ni kipindi kinachorushwa kupitia Times FM 100.5 na wiki hii muigizaji wa filamu na muimbaji, Shilole alialikwa kuchombeza mawili matatu. Kupitia kipindi hicho Shilole alisimulia kwa ufupi jinsi alivyoumizwa na aliyekuwa mume wake. Mtazame hapa.






Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply