Katika kuhakikisha inaendelea kuwafikia watu wengi zaidi, kituo cha runinga nchini cha Clouds TV kinatarajia kuanzisha application yake ya simu za iphone zitakazowawezesha watumiaji wa simu hizo popote duniani kutazama matangazo yake moja kwa moja kiganjani mwao.
App hiyo ikianza kutumika, Clouds TV itakuwa ni kituo cha kwanza kwa runinga ya Tanzania kuonekana kwenye simu za iphone kwa app maalum.
No comments: