Mwanamuziki toak Bongo/Tanzania Baby J anakukaribisha wewe shabiki yake kuweza kutembelea Blog yake Mpya inayoitwa iambabyj.’ Baby Jay amefungua blog yake iitwayo ‘iambabyjay’.ili aweze kushare na mashabiki wake vitu muhimu na ata fans wake waweze kupata news muhimu, Itembelee ili uonee picha, nyimbo, video na habari zake.
Link to go IAMBABYJ
No comments: