Home
»
celebrity News
»
Izzo Business
»
News
» Exclusive: Izzo B azungumza baada ya video ya ‘Love Me’ kupitishwa Channel O
“Hakika Mungu mkubwa Channel 0 wameipitisha video ya ” Love Me ” bado kuanza kuruka tu shukrani za dhati kwa @jokateM na watu wangu wote,” ametweet Izzo Bizness na sisi kuamua kumtafuta kwa simu kuongeza naye zaidi.
“Imepita tu katika hatua za kwanza kwamba inastahili kuchezwa ,” amesema Izzo na kuongeza kuwa bado haijanza kuonekana kwenye mzunguko wa video zinazochezwa kwenye kituo hicho cha runinga cha nchini Afrika Kusini.
Love Me inakuwa video ya kwanza katika career ya Izzo ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Simwinga kupitishwa kwenye kituo hicho.“Imepita tu katika hatua za kwanza kwamba inastahili kuchezwa ,” amesema Izzo na kuongeza kuwa bado haijanza kuonekana kwenye mzunguko wa video zinazochezwa kwenye kituo hicho cha runinga cha nchini Afrika Kusini.
“Video nyingi tulikuwa tunatuma sijui tatizo lilikuwa ni nini labda zilikuwa hazifikii vigezo au labda kuna connection fulani tulikuwa tunazikosa.”
Hata hivyo Izzo amesema mapokezi ya video ya Love Me yamekuwa makubwa kuliko video zote alizowahi kuzifanya awali.
“Video imekuwa na mapokezi makubwa sana, kitu ambacho kimenipa faraja sana,” ameongeza Izzo.
Akimzungumzia director wa video hiyo, Nick Dizzo, Izzo amesema ni muongozaji mwenye uwezo mkubwa kama msanii ukijiandaa vizuri kufanya naye video japo watu wanamchukulia poa.
“Kuna watu wengi wanamchukuliaga rahisi lakini kama unajipanga na unampa moyo wako kweli na yeye anagundua hilo lazima mfanye kazi nzuri.”
Msikilize zaidi hapa.
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: celebrity News Izzo Business News
Related Posts
Fid Q amzunguzia mama wa mtoto wake Fidelie
Rapper Fid Q amesema ni mapema sana kuzungumzia masuala ya ndoa na mpenzi wake kutoka Jamhuri ya Cze...Read more »
26Sep2015Kajala Ammwagia Zari Minoti!
KIMENUKA tena! Katika kile kinachoonekana kama ni kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa pic...Read more »
25Sep2015Picha: Tiffah ni Photocopy ya Baba yake Diamond Platnumz
Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mpenzi wake wa Uganda, Zari the Bosslady ni kama photo...Read more »
25Sep2015Je Umeshawahi Kujiuliza Kama Kuna Ugomvi Wowote Kati ya Lulu Michael na Wema Sepetu...? Lulu Afunguka Haya
KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepet...Read more »
25Sep2015Dk. Cheni Afunguka Kumuoa Lulu!
Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Eliza...Read more »
25Sep2015Mama wa Diamond Aongelea Kuhusu Mjukuu wake Kuwa si Mtoto wa Diamond
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa ...Read more »
25Sep2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: