» » » » NEW MUSIC : SHILOLE – NAKOMAA NA JIJI …

Baada ya kutamba na ngoma yake inayojulikana kama Paka La Bar, sasa mwanamuziki Shiloleambae siku chache zilizo pita alikuwa katika ziara yake nchini Marekani katika mji wa New York.
Mpya kutoka kwa Star huyu ni kuwa ameamua kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la“NAKOMAA NA JIJI”.

Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hii hapa chini ….

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Exclusive: Izzo B azungumza baada ya video ya ‘Love Me’ kupitishwa Channel O
»
Previous
BBA The Chase: Watano waingia dangerzone wiki hii! Mungu Mkubwa Nando na Feza Wako Salama

No comments:

Leave a Reply