» » » JAY Z AKIWA ANA-SHOOT VIDEO YA “PICASSO BABY”



Jay Z ameamua kugeuza live performance kuwa kama official video ya picasso baby. Jay Z alipiga live show ya wimbo wa picasso baby pale alipotembelea New York City’s Pace Art Gallery.
Well the clip will eventually be flipped into a music video, and today we get a dope, better behind the scenes look at the clip.
Picasso Baby ni moja ya wimbo ambao upo ndani ya magna carter holy grail.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply