» » MAADHIMISHO KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA WALIOPIGANA VITA VYA KAGERA YAFANYIKA MKOANI KAGERA



photo 2ce85
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na Wakuu Wengine wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja alipokuwa akitembelea sehemu walipozikwa Mashujaa wa Vita vya Kagera leo Julai 25, 2013 katika Kikosi cha Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply