Msanii wa kizazi kipya Z-Anto amefiwa na mama yake mzazi mchana wa leo baada ya kuugua kwa muda mrefu saratani ya ini. Msiba unafanyika nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho. Tunampa pole Z-Anto kwa msiba huo. Msikilize hapo chini.
No comments: