Mkali wa ngoma BAADAE, ME N YOU … Ommy Dimpoz anatarajia kuachia ngoma yake nyingine mwezi huu … Ommy ambae mwaka huu amefanya shows nyingi na bado anafanya ndani na nje ya nchi …
Akiwa pia amechukua tuzo kadhaa kwenye KTMA2013 ataachia ngoma hiyo mwezi huu ambayo ameshirikiana na J.MARTINS kutoka Nigeria …. Mzigo umetengenezwa MJ RECORDS na Marco Chali na Man Water (Combination Sound) …
Ngoma hiyo itafahamika kama TUPOGO …
No comments: