Tazama video mpya kutoka kwa Ommy Dimpoz hapa, video inaitwa
Ndagushima, imefanyika nchini uingereza chini ya director mose itazame hapa
Kituo pekee cha TV kilichourusha huu wimbo kwa mara ya kwanza ni MTV BASE May 16 2014 ambapo sasa ni zamu ya mitandao baada ya kuachiwa rasmi May 17 2014.
No comments: