Si siku nyingi toka Diamond Platnumz alipotangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
The Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya pili katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza kushika nafasi ya kwanza kwa kumpiku alie juu yake ambae kamzidi kwa asilimia 5 tu.
No comments: