David Moyes alianza rasmi wiki yake ya kwanza na kikosi karibu chote cha Man United siku chache kabla ya kukwea pipa kuelekea huko mashariki ya mbali ambako timu hiyo itaweka kambi yake ya kwanza ya kabla ya msimu yaani “Pre-Season’.
Phil Jose , Rafael Da Silva , Fabio Da Silva na Tom Cleverley wakiwa mazoezini.
Rio Ferdinand na Danny ‘Shabba Ranks’ Welbeck.
Mabeki Rio Ferdinand na Phil Jones wakiongoza mazoezi ya mbio fupi.
Zoezi linaendelea.
Phil Jones na Rafael Da Silva .
Wayne Rooney,Patrice Evra,Tom Cleverley , Anderson na Johny Evans wakicheza “safa bwege”.
Kocha Mchezaji Ryan Giggs na Patrice Evra wakiteta jambo huku mazoezi yakiendelea.
Michael Carrick.
Mkongwe Ryan Giggs ambaye ni kocha mchezaji mchezaji wa United akiwa busy na zoezi.
Kocha David Moyes na msaidizi wake Steve Round.
No comments: