Moja kati ya stori kubwa za leo Marekani inamuhusu mwimbaji Rihanna na rapper Drake ambae ni hasimu mkubwa wa CB na waliwahi kufikia hatua ya kupigana kwenye night club..
Habari za uhakika kutoka kwenye mmoja wa crew ya Rihanna ambaye anasafiri naye kila anapoenda, ameuambia mtandao maarufu wa udaku nchini marekani kwamba Drake na Rihanna wamerudiana, Snitch huyo amesema Drake amekuwa anapanda ndege na kwenda kwenye nchi ambayo Rihanna yupo mara kadhaa na ku-spend naye muda mrefu sana.
No comments: