» » » » Update: Mtoto wa Usher Raymond aliyetaka kuzama kwenye bwawa la kuogelea aruhusiwa kutoka hospitali




Mtoto wa mwimbaji wa R&B Usher Raymond aitwaye Usher Raymond V aliyepata ajali ya maji wiki iliyopita amepona na kuruhusiwa kutoka hospitali.

Usher Raymond na Mtoto wake


uuu
Jana kamera za TMZ zilimuotea Usher Raymond V mwenye miaka 5 akiwa na bibi yake wakitoka katika moja ya sehemu za michezo ya watoto iitwayo Mighty Jumps iliyoko Atlanta, Marekani huku akiwa amefungwa bandage katika mkono wake wa kulia.
usher-2
Wiki moja iliyopita Usher Raymond V alinusurika kuzama katika bwawa la kuogelea lililoko nyumbani kwa baba yake lakini aliokolewa na kulazwa hospitali kwa siku kadhaa.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Kutoka Zanzibar; Shilingi milioni 100 kutolewa kwa atakayesaidia kukamatwa watuhumiwa wa matukio ya tindikali
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply