Habari kwa Ufupi :

» » » » » Video: Bow Wow amkiss tena Tyra Banks live kwenye TV


 Mwaka 2009 ndoto ya Bow Wow ilitimia baada ya kumbusu Tyra Banks kwenye The Tyra Banks Show?
tyrabowwow
Bow Wow alivyombusu Tyra Banks mwaka 2009
So, jana imetokea tena. Awamu hii ni katika mazingira tofauti. Ni katika show yake mwenyewe Bow Wow ya 106 & Park ya BET na Tyra alikuwa mgeni.




Awamu hii pia Tyra ndiye aliyeitaka busu hiyo. “You tryna do the remix?” Tyra alimuuliza Bow Wow.
Baadaye aliinua miguu yake na kuweka kwenye mapaja ya Bow Wow na kukutanisha lips zake laini kwa dogo Bow Wizzy. Baada ya tukio hilo, rapper huyo wa YMCMB alijisifia kuwa yeye ndio mtangazaji bora zaidi wa kiume kwenye TV.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
PichA; FERRARI ZA MAYBACH MUSIC GROUP ZIKIWA ZIMEPIGWA STIKA ZA MAJINA NA SURA ZAO [ MMG Selfmade 3 Ferrari]
»
Previous
Je wewe ni Mnene na Pengine unachukiza na Unene wako naUnahitaji Kupungua.. Soma Hapa Jinsi ya Kupunguza Unene [ SEHEMU YA KWANZA ]

No comments:

Leave a Reply