Unknown
Saturday, September 14, 2013
Ukikutana na Ommy Dimpoz amevaa mkufu mkubwa wenye muonekano wa weusi na almasi, tambua kuwa amevaa dola 10,000 sawa na shilingi milioni 17 shingoni.
|
J Martin Akikabidhi Ommy Dimpoz zawadi iyo ya Cheni |
|
Ommy akiwa amevaa mkufu aliozawadia na J-Martins |
Mkufu huo alizawadiwa jana na staa wa Nigeria J-Martins kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa jana iliyoendana sambamba na party ya East Meets West iliyofanyika Elements Lounge.
|
“Ni mkufu ambao una vitu vya kung’aang’aa, kwa msanii mkubwa kama yeye kunua mkufu wa dola elfu 10 anaweza kuafford.” |
No comments: