Unapoongelea vipaji katika tasnia ya muziki wa bongoflavour unawazungumzia wakali kibao amabao wanafanya muziki mzuri na wenye uwezo mkubwa,Tatizo la vijana wengi wenye vipaji vya kuimba muziki ni kukosa management iliyo na imara na thabiti ili kuweza kusimamia kazi zao.
Kujua Twalibe Next Boy anafanya nini katika muziki huuwa BongoFlavour na Anauwezo gani pata muda wako wa kuweza Kusikiliza moja ya nyimbo zake hapa chini.....
Na Unapoongela Vijana wanaofanya muziki wa Bongoflaour na kujua Kulitawala vizuri Kwa Ustadi mkubwa wapo wengi lakini mmoja wa kati ya Wakali wa steji ni Mwanamuziki Twalibe Next Boy wengi wenu mnaweza msimfahamu lakini ni kijana mwenye uwezo mkubwa katika Tasnia ya Muziki wa BongoFlovour, Mimi naweza kusema nimeshauzulia shoo zake tofauti akiwa anaimba jukwaani ni mtu anayejua kujituma kwa kile anachokifanya.
Twalibe Next Boy Yupo katika maandalizi ya video na wimbo wake mpya unaitwa TAYAYA na siku si nyingi Wapenzi mtaweza kuipata video na Audio hapahapa Bongo61...
Tazama Picha Mbili za vipande ya video hiyo ya TAYAYA
Twalibe Next Boy Na Video Queen
Twalibe Next Boy Na Video Queen
Kama wewe ni Mpenzi wa Muziki wa BongoFlavour Kaa tayari kwani Kjana mwenye makeke yakutosha stejini na asiyefahamika na wengi anakuja na video na Audio ya TAYAYA
No comments: