» » » Picha: Maajabu ya Dunia..... Mwanaume wa China aoteshwa pua mpya kwenye paji la uso wake



Mwanaume mmoja raia wa China amefanyiwa matibabu ya kutengeneza pua mpya ili ije ichukue nafasi ya pua yake ambayo ilidhurika katika ajali ya barabarani mwaka jana (2012).



Xiaolian, 22, ameoteshwa pua mpya kwenye paji la uso wake baada ya wataalam kushindwa kuiponya ile iliyoharibika baada ya ajali.



Utengenezwaji wa pua hiyo mpya ulifanywa kwa kuchukua sehemu ya mbavu za binadamu kwa kukatwa kwa muundo wa pua. Madaktari wamesema mwanaume huyo anaendelea vizuri na zoezi la kuipandikiza pua hiyo mpya eneo la pua ya zamani utafanyika hivi karibuni.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply